HALI ILIVYOKUA ASUBUHI YA LEO MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI ARUSHA MARA BAADA YA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA NA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI FREEMAN MBOWE ALIVYOACHIWA HURU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HALI ILIVYOKUA ASUBUHI YA LEO MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI ARUSHA MARA BAADA YA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA NA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI FREEMAN MBOWE ALIVYOACHIWA HURU

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe (wa tatu kushoto) akitoka maeneo ya mahakama mara baada ya kuachiwa huru.

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo ameachiwa huru baada ya kesi yake iliyokuwa inamkabili ya kutotii mahakama kusikilizwa na hakimu mkazi mfawidhi, Charles Magesa katika mahakama ya jiji la Arusha na  baadae kuhairishwa mpaka Juni 24 mwaka huu. Kwa habari zaidi kuhusu tukio hili usikose kusoma Gazeti la Uwazi hapo kesho.

Picha na Joseph Ngilisho / GPL, Arusha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages