Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.
Ali Mohamed Shein, akiendesha Semina ya Uongozi wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, iliyowashirikisha watendaji mbalimbali wa wizara
na idara, iliyoanza mjini Unguja. Kushoto ni Katibu Mkuu Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa Mkoa
Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)