Ofisa
Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Gaudensia
Simwanza akionesha dawa feki ya kuongeza ukubwa wa makalio leo katika
banda TFDA kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya Umoja wa
Mataifa na Afrika yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
Picha na Mdau Richard Mwaikenda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)