Dkt.
Mohamed Janabi, Profesa wa magonjwa ya moyo na daktari binafsi wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimhudumia mgonjwa Cameron Smith
katika hospitali ya Medical University of South Carolina (MUSC). Nyuma
yake ni Dr. Peter Zwerner, Profesa wa magonjwa ya moyo katika hopsitali
hiyo. Dkt. Janabi ambaye ni Profesa wa MUSC alikuwa katika chuo hicho
majuzi kwa mafunzo na ufundishaji wa muda katika hospitali hiyo.
Picha
imetolewa na Ikulu, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)