BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA PETER KALLAGHE AUDHURIA " TROPPING THE COLOUR EVENT" - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA PETER KALLAGHE AUDHURIA " TROPPING THE COLOUR EVENT"

Balozi Peter kallaghe akiwa na familia yake nje ofisi na makazi ya waziri mkuu
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameroon akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Peter Kallaghe pamoja na familia yake wakati walipoudhuria Parade Maalum inayofanytika kila mwaka kuadhimisha siku ya kuzaliwa Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth II
Parade ya Nguvu
Malikia wa Uingereza Queen Elizabeth II akiwa katika gari maalum linalovutwa na farasi kuingia viwanjani hapo
 
Picha na habari kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages