Pages

BASI LA ABOOD LAPINDUKA NA KUJERUHI ABIRIA ZAIDI YA 31 KATIKA MLIMA IMEZU INYALA MBEYA

Sehemu Ya Mbele inavyoonekana Mara Baada ya Basi La Abood Kupinduka Na Kusababisha Majeruhi Zaidi Ya 13 Hapo Jana

Basi La Abood Likiwa Upande mara baada Ya Kupinduka Na Kusababisha Majeruhi

MOJA YA WATOTO WALIYONUSULIKA KATIKA AJALI HIYO JANA MAJIRA YA SAA 1.30 USIKU  BASI LA ABOOD LILILOKUA LIKITOKA  DSM KUELEKEA MBEYA
BAADHI YA ABILIA WAKIPATA MATIBABU KATIKA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA
Mmoja Wa Majeruhi Akipata Matibabu Mara baada ya Kunusurika Na Ajali
Basi La Kampuni Ya Abood Likiwa Limepinduka
MOJA YA ROLI LILILOSABABISHA KUTOKEA AJALI HIYO YA BASI LA ABOOD KUPINDUKA 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)