Magari yakiwa katika Foleni wakati kazi ya ujenzi inaendelea eneo hilo
Baadhi ya magari yakiwa yanapishana eneo hilo
Kwa mbali inaonesha shughuri za ujenzi eneo hilo zinaendelea kumaliza mapema ili kuepusha msongamano huo.
Ni zaidi ya wiki tatu sasa ambapo eneo hilo Jirani na daraja la mlalakuwa Old Bagamoyo road palikuwa pamechimbuliwa shimo ndani ya barabara jambo lililo sababisha msongamano wa magari zaidi katika eneo hilo,hata hivyo kufikia jana mchana shuguri za ujenzi eneo hilo ziliisha na safari za magali ziliendelea kama kawaida.
Kwa Hisani ya Mbeya Yetu Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)