SPIKA ANNE MAKINDA KATIKA MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SPIKA ANNE MAKINDA KATIKA MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI

Picha ya Marehemu Tulakela Samnyuha, mama mzazi wa Mbunge wa Njombe Kusini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Anne Makinda , aliyefariki dunia ghafla tarehe 5/5/2011 mjini Dodoma.
Jeneza lilibeba mwili wa Bibi Tulakela
. Mhe. Makinda akiwashukuru wana-Dodoma kwa ushirikiano waliompa wakati huu wa kuomboleza msiba wa Mama yake
Mama Anne Makinda akifarijiwa na watumishi wa Ofisi ya Bunge
. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Nsekela (kulia ) na Mhe. Deo K. Sanga Mbunge wa Jimbo la Njombe Kaskazini (kushoto) Wakimsindikiza Spika Makinda (katikati) kwenye ndege iliyobebe mwili wa marehemu mama yake tayari kwenda mkoa wa Njombe kwa ajili ya Mazishi
Spika Anne Makinda (kulia) akiwa na dada yake wakati wa Ibada mjini Dodoma leo.
. Spika Makinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu mama yake akisindikizwa na waheshimiwa Wabunge. Kushoto kwake ni Mhe. Mama Anna Abdala (Mb). Kulia kwake ni Mhe. Bura (Mb) na Mhe. Lediana Mng’ong’o (Mb)
Spika Anne Makinda akisindikizwa baada ya ibada

Habari kwa hisani ya Issa Michuzi Kupitia Kwa Mbeya Yetu Blog.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages