Mtoto wa marehemu, Hassan Yahya Hussein (wa pili kushoto), akiwa na viongozi wa serikali msibani leo mchana
Mchungaji Anthony Lusekelo ' Mzee wa Upako' akitoa rambirambi msibani mapema leo.
...sehemu ya waombolezaji upande wa kina mama
...sehemu ya waombolezaji upande wa kina baba
..aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Omar Mahita naye ni miongoni mwa viongozi mbalimbali waliohudhuria mazishi ya sheikh yahya nyumbani kwa marehemu Mwembe Chai, jijini Dar es salaam.
PICHA: Issa Mnally/GPL





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)