Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akishiriki kucheza ngoma ya Kinyatulu ya kufunda mgeni, kukundi cha ngoma hiyo kilipotumbuiza kwenye mkutano wa Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM taifa, uliofanyika katika Kijiji cha Mgori, Singida Vijijini.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM,John Chiligati akisaidia kuchimba mtaro wa mambomba kwenye mradi wa maji wa Mwankoko utakaohudumia wakazi wa Singida mjini, juzi.Wanaoshuhudia ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Juma Abdallah na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.Picha na Mdau Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)