Miss Gabriel Deborah, The New President Of The University Of Dodoma Students Organizatio Federation (UDOSO FEDERATION)
.............................................................................................
Miss Debora Gabriel Ndiye Raisi wa Serikali ya shirikisho Ya wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Ambaye Alichaguliwa Jumamosi iliyopita Kwa Kura 146 zaidi ya Mpinzani wake.
Miss Debora Alipata kura 3546 wakati Mpinzani Wake Ambaye ni Abubakary Bashe alipata Kura 3400 na Kumfanya Debora Gabriel Kutangazwa Mshindi na Tume Ya Uchaguzi.
Wakati huo huo Nafasi Ya Makamu Wa Raisi wa Serikali ya Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Naye aliweza kumzidi mpinzani Wake Kwa Kura 3 tu ambazo zimemfanya Kutangazwa Mshindi.
Mgombea Wa Nafasi Ya Makamu Wa Raisi UDOSO FEDERATION ambae ameshinda ni THERESIA MTEWELE ambaye alipata kura 3415 wakati Mpinzani wake EDGAR NGUGO alipata kura 3412. Kura hizo 3415 zilimwezesha Theresia Mtewele Kutangazwa Mshindi wa Nafasi Ya Makamu wa Raisi UDOM.
Kwa Mara ya Kwanza Tokea Chuo Kianzishwe Nafasi hizi Mbili Zimechukuliwa na Wasichana Na Kufanya Historia ya Uchaguzi Wa UDOSO kuhifadhi kumbukumbu.
Baada Ya Siku 7 tokea tarehe 8/05/2011 Washindi wote Wa Nafasi Mbalimbali Wataapishwa.
kwa kweli ni bora huyu dada ameshinda maana Angeshinda Abubakary Bashe Chuo Kingeuzwa na angetuletea udini wa CCM kitu ambacho hatutaki.
ReplyDeleteLakini Wanafunzi wenzangu tujihadhari sana na raisi wetu wa social huyu Mwakibinga Ameshinda naTumeshangilia lakini Furaha Tuliyoshangilia Kwa Kuingia Madarakani Isije kuwa Kilio baadae maana huyu jamaa anaendeshwa na emotional za watu na solution zake yeye kwenye matatizo ni migomo kwa hiyo nawasihi wanafunzi wenzangu tuwe macho na migomo ya kijinga na isiyo na maana
haya haya michakato ya uchaguzi imekwisha sasa tuendelee na masomo jamani lakini tume ya uchaguzi haikuwa fair ilikuwa inapendelea baadhi ya wagombea mpaka wakawa weka ambao hawakua na sifa ya kugombea wamefoji GPA.ujinga huo wameufanya tume ya uchaguzi.
ReplyDeletehongera debora kwa kushinda naamini utaongoza kwa umakini na umaridadi.Usiruhusu Watu Kukuendesha kwa matakwa yao ijapokua Tunajua Kuwa wewe ni Mwanachama Wa CCM na Mwenyekiti wa UWT tawi la kitivo cha sayansi ya jamii, sanaa na lugha usituletee uccm wako mama.
ReplyDelete