HATIMAYE KAMPENI ZA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA ZAANZA RASMI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HATIMAYE KAMPENI ZA KUWANIA NAFASI MBALIMBALI KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA ZAANZA RASMI

Mmoja Wa Wagombea Wa Nafasi Ya Uraisi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa Na Lugha Godwin Gonde Amani Akiwa Na Wadau Wake Wakati Alipokwenda Kujitambulisha Katika Makazi Ya Wanafunzi wa Shule Ya Sanaa na Lugha Kwa ajili Ya Kuanza Kampeni Zake.
 
Mgombea Nafasi Wa Uraisi Katika Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa na Lugha Akiwa Amebebwa Juu Juu Wakati Akitambulishwa Kwa Wanafunzi Katika Shule Ya Sanaa Na Lugha Jioni Ya Leo
Mgombea Akinadiwa Na Wadau Wake Mbele Ya Wanafunzi Katika Makazi Yao Jioni Hii

Kama Unavyoelewa Katika Kampeni Vifijo Na Ndelemo Huwa Havikosi Huyu Jamaa Ni Mmoja Wa Wafuasi Wa Godwin Gonde Anayewania Nafasi Ya Uraisi Wa Kitivo cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa na Lugha akiwa Katika Kuburudisha Wanafunzi Waliojitokeza Kusikiliza Utambulisho Wa Mgombea Uraisi Wa Kitivo
Mabango Huwa Hayakosi Katika Kampeni Huyu Ni Mmoja Wa Wafuasi Wa Godwin Gonde Akiwa amebeba Moja ya Bango linalotoa Ujumbe Wa Mpe Kura Godwin Gonde Kuwa Raisi Wa Sayansi Ya Jamii na Sanaa ya Lugha (SOCIAL SCIENCE AND HUMANITIES).
Haki Sawa Kwa Wote Dada Latipha Akuwa Nyuma Kubeba Bango Linalotoa Ujumbe Wa Kumpigia Kura Godwin Gonde Kuwa Raisi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii , Sanaa na Lugha.
Mpiga Ngoma Wa Godwin Gonde alipopata ajali ya Kujikwaa Kwenye Kisiki Cha Mchina Kama Anavyoonekana Kwenye hapo.
 Wapiga Kura Hao Wakiwa Wamekaa kwenye Madirisha Ya Vyumba Vyao Wakimsikiliza Mgombea Uraisi Wa Kitivo Cha sayansi Ya Jamii, Sanaa na Lugha Jioni Ya Leo
 Wengine wakiwa Katika Korido Na Nje Kabisa Kuhakikisha Kuwa Hawahadithi Kuhusu Mgombea Wa Urais Katika Ngazi Ya Kitivo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages