BAADHI YA WALIOKABIDHIWA TUZO ZA EJAT ZILIZOANDALIWA NA MCT - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BAADHI YA WALIOKABIDHIWA TUZO ZA EJAT ZILIZOANDALIWA NA MCT

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale
(kulia) akikabidhi zawadi kwa Emmanuel Chacha, mwandishi wa gazeti la
Raia Mwema aliyeibuka mshindi katika nyanja ya Habari za Biashara na
Uchumi kwa upande wa magazeti wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari
Tanzania (EJAT) zilizoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na
kutolewa katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. NBC
ilidhamini zawadi hiyo kwa shs milioni tano.
Baadhi ya waaandishi na wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya
utoaji tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT)
zilizoandaliwa na MCT jijini Dar es Salaam juzi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages