BAADHI YA MAENEO YA DODOMA MJINI YALIVYO MCHANA HUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BAADHI YA MAENEO YA DODOMA MJINI YALIVYO MCHANA HUU

Jengo la CDA Dodoma
Hii ni barabara itokayo kituo cha Mabasi madogo yajulikanayo kama daladala maeneno ya Jamatini.
Kijana Ambaye Jina Lake halikuweza kupatikana mara moja Akiwa amekula usingizi kwenye kivuli hatua chache kutoka kituo cha daladala cha Jamatini
Hatua chache kutoka kituoni raia wakiwa busy na mihangaiko ya hapa na pale
Raia Wakiwa wanaelekea kwenye Daladala kwaajili ya kurudi Majumbani Kwao

Daladala Zikiwa Kwenye Foleni Katika Kituo Cha Daladala Cha Jamatini Mkoani Dodoma Mchana Huu
Maduka Ndani ya Kituo Cha Daladala Kama yanavyoonekana Katika Picha Hapo Juu
Abiria Na Wafanyabiashara wakiwa Chini Ya Kivuli Katika Standi ya Jamatini Mkoani Dodoma Mchana Huu
Wafanyabiashara ndogondogo Wakisubiri Wateja Ndani Ya Kituo Hiko Cha Daladala Cha Jamatini
Jengo la Ofisi La Benki Ya Posta Na Ofisi Za Tanesco Zikiwa Zinaangaliana na Kituo Cha daladala Cha Jamatini
Daladala zikiwa Ndani Ya Kituo Cha Daladala Cha Jamatini

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages