Warembo wa Vodacom, Erica Aunt (kulia) na Irene Stephen, wakipozi na kombe Uwanjani hapo wakati wakisubiri iwapo Simba itashina bai akabidhiwe kombe hilo.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao Mwanza na kushindwa kwa Simba Taifa jana jioni.
Warembo wakipozi na kombe ndani wakati wakisubiri kulitoa nje kwa ajili ya kusubiri Bingwa.
Hii ilikuwa ni shoo ya wasanii wa Vodacom katika kuashiria Ligi hiyo imemalizika kwa usalama chini ya udhamini wa kampuni hiyo ya Vodacom ambayo imeanza kutumia Nembo yake mpya ya rangi nyekundu hivi karibuni.Na Mdau Wa LJ BLOG.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)