Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Hamad Mussa Yussuf , akichoma moto mswada wa sheria ya kuanzisha Tume ya kurekebisha Katiba Tanzania wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar.
Viongozi wa CHADEMA kutoka kushoto, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Hamad Mussa Yussuf Dadi Kombo Maalim (katikati) na Graison Nyakarungu, Mwasisi wa kampeni 'Washataa mchana' wakiwa katika harakati za kuuchoma moto mswada wa sheria ya kuanzisha Tume ya Mapitio ya Katiba Tanzania wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Zanzibar mjini Zanzibar Jana. Picha na Hamad Hija,MAELEZO Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)