WAKAZI WA CHANIKA WAVAMIWA NA ASKARI WA MALIASILI WAKITUHUMIWA KUVAMIA HIFADHI YA TAIFA YA KAZIMZUMBWE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKAZI WA CHANIKA WAVAMIWA NA ASKARI WA MALIASILI WAKITUHUMIWA KUVAMIA HIFADHI YA TAIFA YA KAZIMZUMBWE


 Mwenyekiti wa kamati ya wananchi wa Chanika Peter kanowa akionyesha ramani ya kijiji cha Nzasa mbele ya waandishi wa habari kuhusu mipaka ya kijiji hicho na msitu wa Kazimzumbwe
Katibu wa Kamati ya wananchi wa Chanika Jackson Rweumbiza(shati jeupe) akifafanua jambo mbele ya waandishi wahabari jijini Dar es Salaam leo wakati akitoa taarifa kuhusu kuvamiwa na Askari wa Maliasili kwa tuhuma za kuvamia Hifadhi ya Taifa Kazimzumbwe Wilayani Ilala mkoaniDar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya wananchikutoka Chanika Peter Kanowa (kitenge) na Mtunza Hazina Imelda Nestory. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages