Hivi ndivyo nembo ya Vodacom Miss Tanzania 2011 itakavyokuwa,ilizinduliwa rasmi hapo jana katika Hotel ya kimataifa ya Kilimanjaro Kempnsiky jijini Dares Salaam
Baadhi ya kamati ya Vodacom Miss Tanzania pamoja na wadhamini wakuu wa shindano hilo na warembo waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom miss Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja.Mkurugenzi wa Lino Internation Agency waandaji wa Miss Tanzania Hashimu Lundenga akiongea na kuwatambulisha baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania miaka ya nyuma katika uzinduzi rasmi wa Vodacom Miss Tanzania 2011
Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akizungumza wakati wa uzinduzi wa nembo mpya itakayotumika katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 na shindano hilo kuzinduliwa rasmi hapo jana katika Hotel ya kimataifa ya Kilimanjaro Kempnsiky wengine ni baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika kinyang’anyiro cha Vodacom miss Tanzania miaka iliyopita.
Mkurugenzi wa Miss Tanzania Hashimu Lundenga akipiga makofi kwa furaha mara baaada ya nembo mpya ya Vodacom miss Tanzania kuzinduliwa rasmi na mashindano hayo pia
Mkuu wa udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akiwasalimu baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika kinyang’anyiro cha Vodacom miss Tanzania miaka iliyopita ,katika uzinduzi rasmi wa Vodacom Miss Tanzania 2011 uliofanyioka hapop jana katika Hotel ya Kilimanjaro Kempnsiiky.
Baadhi ya kamati ya Vodacom Miss Tanzania pamoja na wadhamini wakuu wa shindano hilo na warembo waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom miss Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)