TRA YALALAMIKIWA KUWA CHANZO CHA FOLENI MPAKANI TUNDUMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TRA YALALAMIKIWA KUWA CHANZO CHA FOLENI MPAKANI TUNDUMA

Hawa watummishi humo ndani wanachagua mitumba  na wala hawana wasi kuwa ni mda wa kazi tumeomba watufungulie geti wakatuambia subirini tunakazi na tunataratibu zetu za kikazi hivyo usituingilie katika kazi zetu hiki kibanda kipo mpakani mwa tunduma na zambia Madereva wengi wamekilalamikia kibanda hiki na inasemekana nacho chanzo cha kusababisha foleni mpakani hapo Tunduma
HII NDIYO KERO YA TUNDUMA
HUU NI UPANDE WA NAKONDE ZAMBIA KUMETULIA HAKUNA FOLENI
NI FOLENI NDEFU SANA INAKARIBIA NJIA PANDA ILEJE  MPEMBA Na Mdau Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages