TAIFA KATIKA PICHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAIFA KATIKA PICHA

Mkazi wa Kijiji cha Malowa, Kata ya Kibati,Wilaya ya Mvomero,mkoani Morogoro,Mwanahawa Rashid (katikati)akiwa amebebwa na kijana anayefanya shughuli za kuwavusha wananchi ndani ya mto Mjonga baada ya daraja la Mto huo kubomoka kutokana na mafuriko ya mvua iliyonyesha Machi 23.Kulia ni mkazi wa Kibati na Kijana mwingine akimvusha mtoto. Daraja hilo ni kiungo muhimu kwa wakazi wa Kata ya Kibati na Diongoya, Wilayani humo.Picha na John Nditi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages