SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA LALINDIMA VIWANJA VYA LEADERS ASUBUHI HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA LALINDIMA VIWANJA VYA LEADERS ASUBUHI HII

 Mashabiki Wa Chelsea Wakiwa Katika Picha Ya Pamoja katika Viwanja Vya Biafra Kabla ya maandamano kuanza kuelekea Viwanja vya Leaders
 Mashabiki wa Ac Millan Ya Italia Wakiwa Mstari wa Mbele Katika Maandamo yaliyokua yakielekea kwenye viwanja Vya Leaders kwaajili ya bonanza la serengeti fiesta soccer bonanza
 Maandamano yakiwa yanakalibia kuingia katika viwanja wa leaders asubuhi hii
Mashabiki wa Manchester United ya Uingereza Wakiwa katika Picha ya Pamoja katika Viwanja vya leaders asubuhi hii.Picha Kwa Hisani Ya Michuzi Jr

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages