Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sylvester Rwegasira wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo jioni katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Katibu mkuu wa TRAWU Marehemu Sylvester Raphael Rwegasira wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)