Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (kulia) akihutubia katika mkutano na wakazi wa Kurasini, Dar es Salaam jana,kuhusu namna ya kufidia nyumba zao ili zibomolewe kupisha upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam.
Mkazi wa Kurasini Jasmine Ngaro akilalamika mbele ya Waziri kwamba amedhulumiwa nyumba yake
Mohamed Mtungata akilalamika jinsi alivyopunjwa fidia ya nyumba yake badala ya kulipwa fidia ya vyumba 6, alilipwa fidia ya vyumba vitatu.Picha zote na Mdau Richard Mwaikenda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)