Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akizungumza wakati hafla ya kuzindua tena huduma ya dhamana kwa wafanyabiashara(Trade Finance)iliyofanyika katika Hoteli ya Mount Meru mjini Arusha mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafur(kulia)akizungumza na baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo.
Mmoja wa wateja wa benki hiyo akiulizwab swali mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru(kulia)akimsikiliza kwa makini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence Mafuru(katikati)akisalimiana na baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo.
Meneja Tawi wa NBC Arusha,Alphonce Musiba(kushoto)akizungumza na mmoja wa wateja wakati wa hafla hiyo.
Maofisa wa NBC wakibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wa makampuni wakati wa hafla hiyo.
Mkuu wa Mauzo wa Kitengo cha Wateja Wakubwa, Minnie Adolf Kibuta(katikati)akizungumza na baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo wakati wa hafla ya kuzindua tena huduma ya dhamana kwa wafanyabiashara(Trade Finance)iliyofanyika katika Hoteli ya Mount Meru mjini Arusha mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)