Tunaweza Kusema Ni maajabu ambayo hajawahi kuonekana Ovyo Ovyo Mitaani Labda Mara Nyingi Huweza Kuonekana Katika Filamu Za Wenzetu huko Ulaya Na Mabara Mengine.Hawa Ni Madereva Wenye Asili Ya Kiarabu Ndio Walikuwa Wanafanya Haya Yote Huu Ni Mchezo Wa Hatari Endapo Gari Likipinduka.Swali Je Madereva Wa Kibongo Na Nchi Jirani Wanaweza Kufanya Hivi Na Kuhatarisha Maisha Yao?
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)