Msafara ukipokewa Chalinze na waendesha pikipiki
Katibu Mkuu wa CCM, Wiliam Mukama na Katibu wa NEC wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakimsalimia Diwani wa Kivaha mjini, Selina Wilson, msafara ulipopokelewa Chalinze
Wanachama wa CCM Chalinze wakishangilia katika mapokezi hayo
Nape Nnauye akimsaidia kupiga ngoma, Shabani Selemani Kombo wa Kikundi cha ngoma ya Silanga kutoka Kata ya Msata, kundi hilo kilipokuwa likitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu mpya wa CCM, Wilson Mukama na Sekretarieti mpya ya CCM, jana Chalinze mkoa wa Pwani.
Mashabiki na wana-CCM wakishangilia mapokezi ya msafara wa viongozi hao ulipowasili Kibaha
Picha Na Chachandu Daily
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)