MCHUNGAJI MTIKILA ALALAMIKIA KUHUSU MUSWADA WA KATIBA MPYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MCHUNGAJI MTIKILA ALALAMIKIA KUHUSU MUSWADA WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Ilala, Dar es Salaam leo mchana, kuhusu mambo muhimu yaliyokosekana katika Katiba mpya. Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Ukombozi ya Kimataifa, Maisha Muchunguzi. Mtikila amedai kuwa Katiba hiyo haijawalenga watanzania wote bali imewalenga watanzania Bara na kuwabagua watanzania wa Visiwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages