DIWANI MWINGINE WA CCM AFARIKI MKOANI IRINGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DIWANI MWINGINE WA CCM AFARIKI MKOANI IRINGA


Diwani wa kata ya Miyomboni Kitanzini Manispaa ya Iringa Mariam Nyanginywa(Pichani)  amefariki juzi na kuzikwa jana baada ya kuugua. Nyanginywa ni diwani wa tatu wa CCM kufariki dunia katika Manispaa ya Iringa baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka mwishoni mwaka jana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages