Gari aina ya Mark II ikiwa imepigwa vibaya Muda mchache Baada ya Ajali kutokea, na pembeni ni Baadhi ya watu ambao walifika kusaidia majeruhi na kuchukua Baadhi ya miili ya Marehemu kuwakimbiza Hospitali huku wengine wakiwa na Minyororo kwa nia ya kunyoosha Gari kuwatoa walio banwa.
Gari kubwa la mizigo lililo acha Njia na Kusababisha Ajali mbaya iliyo tokea leo Asubuhi
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa eneo la tukio kusaidiana na wananchi
Kwa Hisani Ya Mbeya Yetu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)