ACHOMWA MOTO KWA WIZI WA VITI JIJINI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ACHOMWA MOTO KWA WIZI WA VITI JIJINI MBEYA

Kijana Njenda Lutelo akipigwa na wananchi wenye hasira kali akidaiwa kuiba viti vitano huko ilolo jijini mbeya
baada ya kipigo kikali walimvisha tairi tayari kwa kuchoma
mungu wangu sasa tayari kwa kuchomwa Moto Na Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages