Mkazi wa Kata ya Mngazi , Tarafa ya Bwakila, Wilaya ya Morogoro, Jonisia Kibeo ( kulia) akimfunika nguo mdogo wake, Stella Theodori ( 16), mwanafunzi wa kidato cha pili wa Shule ya Sekondari Milengwelengwe, aliyelazwa katika wodi ya zahanati ya kijiji cha Mngazi baada ya kupigwa na radi jioni ya Machi 25, mwaka huu. Wanafunzi 17 walikumbwa na balaa hilo,watatu walikufa akiwemo wa shule ya msingi. Aliyekaa nyuma) ni majeruhi mwingine, Zaina Litambiko ( 17) ambaye pia ni wa shule hiyo ya sekondari hiyo.Picha na John Nditi
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)