WAFANYABIASHARA WA URAFIKI WARUDI UPYAAAA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAFANYABIASHARA WA URAFIKI WARUDI UPYAAAA

Hivi karibuni eneo hili lilikuwa na mgogoro baina ya Serikali na wafanyabiashara waliojenga vibanda vyao vya biashara eneo hilo baada ya Serikaa kufikiauamuazi wa kubomoa vibanda hivyo kwa lengo la kujenga Kituo cha Mabasi yaendayo kasi, hali ya kuwa haikua miaka mingi tangu Soko hilo lilipozinduliwa na Serikali kwa mbwembwe na kuweka jiwe la msingi huku Serikali hiyo hiyo ikilipa pesa kwa bendi za Msondo na Sikinde ili kutoa burudani wakati wa uzinduzi huo, ukiachilia mbali gharama za ujenzi wa soko hilo unaokadiliwa kufikia mamilioni ya fedha. Baada ya kubomolewa vibanda wafanyabiashara hao walianza kujenga upya ambapo kwa sasa wamerejea upya kama zamani, SASA nani mwenyemakosa ni Wafanyabiashara au Serikali?Wafanyabiashara wakiendelea na biashara kama kawa na huku wengine wakiwa tayari wamejenga vibanda vyao walivyobomolewa kama kawaida.
Vile vileeeeeee kama mwanzo..

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages