TIGO WAKABIDHI NYUMBA YA MILIONI 110 KWA MSHINDI WAO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TIGO WAKABIDHI NYUMBA YA MILIONI 110 KWA MSHINDI WAO

Meneja Huduma kwa Wateja wa Tigo, Herieth Lwakatare akimkabidhi funguo za nyumba Bw. Halifa Issa Sulu. Wengine pichani ni mke wa Halifa, Ashura Issa (wa pili kushoto) na mtoto wao Salha Issa na kulia ni Afisa Uhusino
wa Tigo, Jackson Mmbando.

KAMPUNI ya simu za mikononi ya Tigo leo imekabidhi zawadi ya nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 110 kwa Bw. Halifa Issa Sulu ambaye ndiye mshindi wa Promosheni ya Sajili na Ushinde.


Meneja Huduma kwa Wateja wa Tigo, Herieth Lwakatare akimkabidhi Hati ya nyumba Bw. Halifa Issa
Nyumba aliyojishindia Halifa Issa yenye thamani ya shilingi milioni 110 iliyopo Tegeta Ununio Jijini Dar es Salaam.
Kwa Taarifa Zaidi  <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages