Home
Unlabelled
TAIFA STARS YAISAMBARATISHA JAMHURI YA KATI KWA MAGOLI 2 - 1
TAIFA STARS YAISAMBARATISHA JAMHURI YA KATI KWA MAGOLI 2 - 1
Mabeki wa timu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, wakijaribu kuokoa mpira uliowashinda na kutinga wavuni na kuandika bao la pili na la ushindi baada ya kupigwa na Mbwana Samatta kwa kichwa, wakati wa mchezo dhidi yao na Taifa Stars wa kuwania kufuzu kucheza kuwania kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika zitakazofanyika nchini Gabon na Equatorial ya Guine mwaka 2012. Taifa Stars imeshinda 2-1.
Wachezaji wa Taifa Stars, wakishangilia bao la pili lililofungwa na Mbwana Samatta, kipindi cha pili. "Oooh, Yeeees!
Kocha Mkuu wa taifa Stars, Jan Poulsen, akishangilia bao la ushindi lililofungwa na Mbwana Samatta.
Mashabiki wa Soka wa Taifa Stars, wakishangilia baada ya timu yao kuibuka na ushindi.
Baadhi ya Viongozi wa timu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, wakimzonga Kamisaa wa mchezo baada ya kumalizika kwa mchezo huo, wakidai hakuongeza dakika za nyongeza.
Mashabiki wakiwa na huzuni, wakati mchezo ukiendelea na Taifa Stars ikiwa nyuma kwa bao 1-0.
Juma Kaseja na Mussa Mgosi, wakiwa jukwaani wakifuatilia mchezo huo.
Kiungo wa Taifa Stars, Henry Joseph (katikati) akiwatoka mabeki wa timu ya Jamhuri ya kati.
Mohamed Banka, akimiliki mpira mbele ya beki wa timu pinzani, wakati wa mchezo huo.
Kipa wa timu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, akiruka kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni kwake.
Picha Na Habari Na Mdau Sufiani Mafoto
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)
Lukaza Blog is a resources blog providing high quality articles with premium topics and well drafted. The main mission of Lukaza Blog is to provide the best quality articles which are relevance, original, truth and education materials designed and perfectlly to deliver best result for your knowledge and understanding of new things.
Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF Mzee Emannuel Humba akionyesha tuzo yake aliyopewa na mfuko huo kwa kutambua...
Contact Form
About Me
Hello, my name is Josephat Lukaza. I've 12 years in Blogging and An Award Winner for the BEST Political Blog in African Bloggers Awards in 2015 Learn More →
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)