Raisi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii Na Sanaa Ya Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Leonard Singo Akitoa Ufafanuzi Juu Ya Mambo Ambayo Yatatekelezwa na Yaliyotekelezwa Na Serikali Ya Wanafunzi Katika Kipindi Cha Uongozi Wake kabla Hajamaliza Muda Wake.Vilevile Raisi Wa Kitivo Hicho Aliweza Kujibu Maswali Ambayo Yaliulizwa Na Baadhi Ya Wanafunzi Kuhusu Maswala Mbalimbali likiwemo La Ubadhilifu Wa Pesa Za Wanafunzi Uliofanywa na Serikali Ya Shirikisho Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma.
Baadhi Ya Wanafunzi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii Na Sanaa Ya Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma WakiMsikiliza Kwa Makini Mh Raisi Wa Kitivo Hiko Wakati Akitoa Ufafanuzi Na Kujibu Maswali Ya Wanafunzi hao.
Baadhi Ya Wanafunzi Wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii na Sanaa Ya Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa Makini Kusikiliza Majibu Yaliyokuwa Yakitolewa Na Raisi Wa Kitivo Hicho.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)