Rais Jakaya Kikwete (kulia) akihoji jambo kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru kawambwa (kushoto) wakati alipokua akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya elimu nchini. Rais Jakaya Kikwete alikuwa wizarani hapo kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo ya elimu nchini ikiwa ni utaratibu aliojiwekea wa kuzitembelea wizara, Idara na Taasisi mbalimbali.
Rais Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)