Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati alipoongozana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ , Pieter Uys (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Dietlof Mare(wapili kushoto) kwa ajili ya mazungumzo na rais kuhusu Masuala ya kuongeza uwekezaji nchini, Ikulu Dar es Salaam jana.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)