Taifa lazidi kuteketea ni baada ya Habari za uhakika ambazo zimetua hivi punde katika mtandao huu kutoka mkoani Morogoro zinadai kuwa ajali mbaya nyingine ya tatu kwa wiki hii kutokea mkoani Morogoro kwa kuhusisha basi la Abiria la kampuni ya Osaca lililokuwa likitokea Bukoba kwenda Dar kugongana na Lori mkoani Morogoro na watu kadhaa wamehofiwa kufa na wengi wao kujeruhiwa.
Ajali hiyo imetokea dakika chache asubuhi hii na jitihada za kuokoa majeruhi zinaendelea.
Vuta subira ndani ya dakika chache utapata uhakika wa ajali hiyo na idadi kamili ya waliofariki dunia jitihada za mtandao huu kumtafuta kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro ama RTO zinaendelea,
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)