WAKE ZA VIONGOZI WAWATEMBELEA MAJERUHI WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKE ZA VIONGOZI WAWATEMBELEA MAJERUHI WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO

 Mke wa Waziri wa Ulinzi, Mariam Mwinyi ambaye ni miongoni mwa wake wa viongozi akitoa pole kwa mwathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika Hospital ya Amana jana jijini Dar es Salaam
Mke wa Waziri Mkuu,Tunu Pinda(kushoto) na mke wa Waziri Mkuu mstaafu Rejina Lowasa wakimjulia hali mgonjwa Mwajuma Jumanne miaka 25 mkazi wa Gongo la Mboto ambaye ameumia paja katika milipuko ya mabomu ya Gongo la Mboto wiki iliyopita.Picha naOfisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages