PINDA NA WABUNGE WAKE BAADA YA KUFUNGA SEMINA ELEKEZI YA WABUNGE JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PINDA NA WABUNGE WAKE BAADA YA KUFUNGA SEMINA ELEKEZI YA WABUNGE JANA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Spika wa Bunge Anne Makinda (kulia), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk Mary Nagu (kushoto) na Mbunge wa Wawi,Hamad Rashid baada ya kufunga semina ya Wabunge kwenye ukumbi wa hoteli ya Pearl Ubungo Plaza Dar es Salaam.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages