NYUMBANI LOUNGE YA JAY DEE HII HAPA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NYUMBANI LOUNGE YA JAY DEE HII HAPA

 Unaweza ku reserve Meza kama una mazungumzo yako private au hafla fupi unataka kuifanya pale bila kuzuia wateja wengine kuendelea na shughuli zao
----
Nyumbani Lounge Haijaanza rasmi kutoa huduma zote,bado ni polepole
Ufunguzi rasmi utafanyika wiki ijayo na wadau mbalimbali wataalikwa

Kuanzia Jumatatu mapaka ijumaa mchana kutakuwa na buffet

Na kila siku ni chakula cha aina tofauti tofauti,cha Kiswahili

Menu ya leo Jumanne kwa watakaopenda kupita mchana kujaribu ni kama ifuatatvyo


SUPU YA MBUZI
VIAZI VITAMU
SPINACH

MAHARAGE YA NAZI
WALI WA MBOGA MBOGA
KUKU WA RANGI RANGI
UGALI

DAGAA
NA NYAMA

*Karibuni kwenye Buffet Monday - Friday. Mchana

NYUMBANI LOUNGE,Ipo Ada Estate Kinondoni karibu na Best Bite

Ndani ya TRANIC PLAZA 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages