KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA.

 Mbunge wa Singida Mjini Mhe.Mohammed Dewji (CCM) akifurahi pamoja  na Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Lissu katika viwanja vya bunge mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi Dk Harrison Mwakyembe akibadilishana Mawazo na Mheshimiwa Ibrahim Saanya Mbunge wa Mji Mkongwe-CUF kwenye Viwanja vya bunge mjini Dodoma leo
 Waziri kivuli wa Fedha na Uchumi na mbunge wa kigoma kaskazini (CHADEMA) Mheshimiwa Zitto kabwe akibadilishana Mawazo na Waziri kivuli wa Viwanda na Biashara-Chadema  Lucy Owenya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Leo
Kamanda wa oparesheni na mafunzo wa jeshi la polisi Paul Chagonja(Mwenye Sare za Polisi)akiongozana na maofisa wake kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages