BALOZI SEFUE: NCHI ZALIA MALIPO DUNI KWA ASKARI WA KULINDA AMANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BALOZI SEFUE: NCHI ZALIA MALIPO DUNI KWA ASKARI WA KULINDA AMANI

Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Ombeni Sefue akiwa katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Misheni za Ulinzi wa Amani zinazosimamiwa na Umoja wa Mataifa, katika mkutano huo ajenda iliyotawala ilikuwa ni malipo duni wanayolipwa askari wanaohudumu katika Misheni hizo. Tanzania kupitia mwakilishi wake huyo kama ilivyokuwa kwa nchi nyingine, ilisisitiza kwamba wakati umefika kwa viwango hiyo ambavyo havijarekebishwa kwa takribani miaka 19 kufanyiwa kazi. aliyekaa nyuma yake ni Meja Wilbert Ibuge Mwambata Jeshi katika Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages