Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akizungumza kwenye hafla ya kuweka saini kwa mikataba ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami na usimamizi wa ujenzi wa hizo leo jijini Dar es Salaam.kulia ni Naibu Katibu Wizara ya Ujenzi Hebert mrango na kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi Dk Harrison Mwakyembe
Kaimu mtendaji mkuu wa wakala wa barabara nchini(TANROADS)Mhandisi Patrick Mfugale(kushoto)akibadilishana hati na meneja mkuu upande wa maendeleo ya biashara kutoka kampuni ya Consulting Engineering Service Limited Sajeev Banerjee Mara baada ya hafla fupi ya utiaji wa saini wa mikataba ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami na usimamizi wa ujenzi wa hizo barabara jana jijini Dar es Salaam.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)