Kwa heshima na Taadhima naomba kwa wale wote waliosoma degree ya sociology ka ngazi yoyote, iwe ndani ya tanzania au nje ya nchi, bila kujali ni mwaka gani bora tuu ni sociologist, nitumie e-mail adress yako kwenye jucharl@yahoo.com ni kwa mema tu na sikwa mabaya.
Mengine tutawasiliana hukohuko kwenye e-mail utakayo tuma.labda kwa kutona uoga ni kwa ajili ya social n professional networking ambayo itakuwa useful kwa kila mmoja wetu
ukionatangazo ili mwambie na mwenzio unayemjua hata kwa simu ili tuwe na network kubwa.Ahsante
Kama Una swali uliza kwa kutumia e-mail hiyo juu na Utajibiwa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)