Rais Jakaya Kikwete akizindua madarasa ya shule mpya ya msingi Msoga muda mfupi baada ya kukabidhiwa na kaimu Balozi wa China Bwana Fu Jijun huko katika kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo leo asubuhi.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wanafunzi wa darasa la saba katika shule mpya ya msingi Msoga iliyojengwa kwa msaada wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa China.
Picha na Freddy Maro-Ikulu
Picha na Freddy Maro-Ikulu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)