Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Jaji Dan Mapigano nyumbani kwake Mwenge, jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Marehemu Jaji Dan Mapigano leo, jijini Dar es Salaam.
Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)