Rais Dk Jakaya Kikwete(katikati)leo amemwapisha rasmi kamishna wa tume za haki za binadamu na utawala bora pamoja na katibu wa tume hiyo.walioapishwa ikulu jijini Dar es Salaam Leo ni kamishna wa tume hiyo Bw Ali Hassan Rajab(kushoto) na katibu wa tume hiyo Bi Mary Massay.Pichani Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja muda mfupi baada ya kuwaapsiha ikulu asubuhi ya leo.Picha na Freddy Maro-Ikulu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)