jeshi la Polisi Mkoani Mwanza Limekamata limekamata Vipusa vya Faru(Pichani)vikitembezwa sokoni kutafuta mteja,pamoja na vipusa hivyo wametiwa mbaroni watu wawili.inasemekana pembe hizo za faru(vipusa)hutumika kutengeneza Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume huko katika nchini za Falme za kiarabu,japan,korea na hata china ambako vina soko kubwa sana.Picha na Habari na Frederick Katulanda
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)