Mtoto wa miaka 12 mkazi wa Mlandege katika Manispaa ya Iringa pichani akiwa katika kituo cha Overcomers Power Center akifanyiwa maombi baada ya kusumbuliwa kwa zaidi ya miaka miwili akidai kushiriki vikao vya kishrikina na wenzake ,mtoto huyo amesalimisha dawa ambazo alikuwa akitumia kufanya kila akipendacho na kueleza jinsi alivyopata kuishi majini ,habari zaidi sikiliza Radio wapo Fm kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam na Iringa sikilizeni Overcomers Fm 98.6 MHz
Hapa dawa hizo zikiteketezwa kwa moto ,tukio hilo limefanyika usiku huu mjini Iringa kumbuka habari zaidi ya tukio hilo utazipata katika gazeti la Jibu la Maisha wiki ijayo.Pichani na habari na Mdau Francisgidwin
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)